VYOMBO VYA HABARI VINAWAJIBU WA KUELIMISHA JUU YA MALENGO 17 YA MAENDELEO ENDELEVU
Picha yapamoja na viongozi wa Taasisi ya Hope Foundation for Social Interprenuership iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. JamiiVyombo vya habari vimetakiwa kushiriki katika maendeleo endendelevu ya yenye malengo 17 yanayoanza 2016 hadi 2030 ili kuweza wananchi kufahamu kila lengo na kuweza kufikia mabadiliko chanya. Malengo 17 ya Maendeleo Endelevu yanatokana na kuisha kwa malengo ya milenia ambayo yamekamilika mwaka huu na kufanya nchi 88 duniani kukaa pamoja na kuja malengo hayo lengo likiwa ni kukamilisha malengo ya milenia ambayo yamekamilika mwaka huu pamoja na kuboresha sekta mbalimbali kupitia malengo hayo.
Comments
Post a Comment