DINI YAELEZWA KUWA KICHOCHEO CHA KUTIMIZA SDGS
Taasisi za kidini zina nafasi
timilifu katika kuchangia utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu
SDGs na katika kuhakikisha utulivu miongoni mwa jamii amesema mmoja wa
washiriki katika mkutano kuhusu muingiliano wa imani na maendeleo.
Katika mahojiano maaluma na idhaa
hii Sarah Mduma kutoka shirika la kikatoliki Grail Tanzania amesema taasisi za
dini zinaweza kupandikiza mbegu ya chachu ya kuwezesha utekelezaji wa SDGs.

Comments
Post a Comment