Siku ya kimataifa ya watu wa asili, haki ya elimu yasisitizwa

Ikiwa leo ni Siku ya Kimataifa ya Watu wa Asili, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amezitolea wito ziboreshe upatikanaji wa elimu kwa watu wa jamii za asili, pamoja na kujumuisha uzoefu na utamaduni wao kunakotolewa elimu. Katika mahojiano na idhaa hii, Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya wafugaji na maendeleo Tanzania PIDO Martha Ntoipo amesema jamii ya watu wa asili inapaswa kuzidisha jitihada za elimu vinginevyo itaachawa nyuma katika maendeleo.
Bi Ntoipo anaeleza kile ambacho shirika lake limekifanya katika kuadhimisha siku hii


Comments

Popular posts from this blog

VYOMBO VYA HABARI VINAWAJIBU WA KUELIMISHA JUU YA MALENGO 17 YA MAENDELEO ENDELEVU

DINI YAELEZWA KUWA KICHOCHEO CHA KUTIMIZA SDGS

7 hatua kuelekea maendeleo endelevu ifikapo mwaka 2030