itihada za pamoja zahitajika kutokomeza ukimwi ifikapo 2030
Mjadala unajikita katika umuhimu wa kuongeza juhudi za vita dhidi ya ukimwi kwa miaka mitano ijayo ili kuiweka dunia katika msitari wa kutokomeza kabisa maradhi hayo ifikapo mwaka 2030 katika sehemu ya utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu SDG's.
Rais wa Baraza Kuu Mogens Lykketoft akifungua amesema ni ajabu Ukimwi kuendelea kuwa tatizo katika dunia ya sasa yenye fursa za kuweza kutokomeza.
Akizungumzia suala hilo na wito kwa nchi wanachama Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa mataifa linalohusika na vita dhidi ya Uki

Comments
Post a Comment