wizara ya mambo ya nje nchini Tanzania imekanusha taarifa

wizara ya mambo ya nje nchini Tanzania imekanusha taarifa kwamba Rais John Magufuli amepiga marufuku uvaaji wa sketi fupi maarufu kama vimini.

Taarifa ya Wizara hiyo imesema: "Ni kweli kwamba Rais Magufuli na Serikali yake wanaunga mkono uvaaji wa nguo za staha, lakini taarifa kwamba Rais Magufuli amepiga marufuku uvaaji wa sketi hizo fupi si za kweli.”
Tangu Jumatatu wiki hii, mitandao ya kijamii ilirindima na taarifa kwamba Rais Magufuli ametangaza marufuku hiyo.

Comments

Popular posts from this blog

VYOMBO VYA HABARI VINAWAJIBU WA KUELIMISHA JUU YA MALENGO 17 YA MAENDELEO ENDELEVU

DINI YAELEZWA KUWA KICHOCHEO CHA KUTIMIZA SDGS

7 hatua kuelekea maendeleo endelevu ifikapo mwaka 2030