Elimu duniani iende sambamba na ajenda ya maendeleo 2030: UNESCO
Mjadala wa kamisheni ya elimu ya shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu
Sayansi na Utamaduni, umekamilika mjini Paris Ufaransa ambapo
wawakilishi wa nchi mbalimbali wanakutana katika mkutano mkuu wa UNESCO
kujadili masuala mbalimbali yanayoratibiwa na shirika hilo.
Kaimu Katibu mkuu wa tume ya Unesco nchini Tanzania Dkt. Moshi Kimizi anayehudhuria mkutano huo ameieleza idhaa hii katika mahojiano maalum kuwa kamisheni ya elimu imeweka malengo mkakati yanayojikita katika ajenda 2030 kwa kutoa elimu itakayopambana na umasikini, njaa na…

Comments
Post a Comment